mishono mipya ya vitenge

mishono mipya ya vitenge

mishono mipya ya vitenge: African Print Jacket,Unaweza kuvaa wakati wa baridi,Jacket kama hili unaweza kulivaa na kuachia vifungo wazi bila kufunga na ukawa na muonekano tofauti yani two of every one. # Africanfashion # Fashionblogger .

mishono mipya ya vitenge

Nimempenda Huyu Dada Balaa,Ukijijulia Mwili Wako Yaani Lazima Hupendeze Tu,Kazi Kwao Wanaosema Mwili Wangu Siwezi Kuvaa Hivi Au Vile,Pambana Na Hali Yako.

Kitenge Jumpsuit Two In One,Unaweza Kutoa Hilo Koti La Juu Na Ukavaa Location Ya Kawaida Bila Koti.

Sara Issa Ndani Ya Makenzi,Ni Kitenge Ambacho Kinavaliwa Kila Mwaka Hakipitwi Na Wakati Hivyo Hata Mwaka 2018 Bado Kitakuwa Katika Chati Wewe Tu Kuchagua Mtindo Bomba Unaokufaa # Fashionista.

Mishono Ya Vitenge, While there is an institute of expectation that trusts that appearance is a driven proficient or bedmate with not inexhaustible stipend for the bargain, but rather there is the expansion which says that appearance leaves a great deal available to estimation and along these lines trade-off. In this article, we will familiarize you that appearance is separated from everyone else intended to be adjusted as a rule and not as an entire command that has no remittance for the trade-off.

We acknowledge taken this entrance since we feel that there is no remittance for life systems ungainly or astuteness back it comes to appearance and that anyone has the suitable to dress physically fit and feel adequate about what they look like.

Lola Akinuli Adeniyi ni Stylist, Designer, CreativeDirector, na Photographer kutoka Nigeria, Unaposikia Stylist na Designer lazima ufikirie kwamba ana sense nzuri katika mitindo and yes she has a decent taste katika mitindo she is brilliant, chic and exquisite.

Kwake tumependa hasa mishono yake ya kitenge na jinsi anavyo kivaa bila ku-bore.

mishono mipya ya vitenge