mishono mipya ya vitenge na vitambaa

mishono mipya ya vitenge na vitambaamishono mipya ya vitenge na vitambaa

 

mishono mipya ya vitenge na vitambaa:

Kitenge ni vazi ambalo halichuji,wabunifu wamekuwa wengi na kila siku inaibuka mitindo mipya ambayo MTU anaweza kupata vazi La mandhari yoyote.

kitenge huweza kuvaliwaa mandhari yoyote.Kitu unachopaswa kukifikiria kabla ni mandhari(location) unayotaka kuvaa vazi hilo ili ubuni kulingana na muktadha

Tunapozungumzia ubunifu,ni ufundi anaoutumia msanii yeyote katika kuwasilisha/kufanya kazi yake iwe tofauti na kazi za watu wengin.

mishono mipya ya vitenge na vitambaa

mitindo ya vitenge

mishono mipya

Kumekuwa na mkanganyiko sana kuhusu rangi ya mwaka,Wengine wamekuwa wakidai bluu ndiyo rangi ya mwaka kutokana na kwamba mwaka Jana ilivaliwa mno hasa na maharusi.

Naomba nikutoe kimasomaso rangi iliyotangazwa na Pantone ambayo ninkampuni inayotekeleza jukumu hilo baada ya kufanya utafiti katika mitindo mbali hutoa rangi ya mwaka.

Rangi ya dhambarau IPO katika muonekano tofauti .nitatupia picha chache za mavazi ya rangi ya purple( zambarau)

Vazi La kitenge ni vazi unaloweza kuchanganya na kitambaa au mapambo yoyote katika ubunifu na ukapata vazi LA kipekee ,kama hilo vazi ni la kitenge ila limetiwa nakshi za manyoa kazi kwako.

Ninapozungumzia ubunifu,hii ni hali ya kuwa na wazo La tofauti katika jambo unalofanya,Mimi nazungumzia ubunifu wa mavazi ambao humfanya mtu kuwa wa kipekee.

Hivyo upekee wa mavazi ndiyo hutambulisha mtu,mfano mtu huambiwa umevaa kama changudoa kutokana na muonekano wa vazi hulilovaa kuwa ni la kichangudoa,au unaweza ambiwa umevaa kama bibi,babu,kijana,mshamba ,miss nikutokana na muonekano wako.

Ushauri wangu ningwomba uwe na mtindo wa vazi lenye staha linalokutambulisha vema.

 

mishono mipya ya vitenge na vitambaa